Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili Swali nimejiuliza sana bila kupata majibu.
Ni dhahiri Wasanii wa Tanzania ni Tawi la CCM, na kwa vile Vitengo vyote vya Chama hicho vimehamishiwa Dodoma, Sioni sababu yoyote ya Wasanii hawa kubaki Dar es Salaam.
Wasanii Wametii kila walichoelekezwa na ccm, kwa Ukamilifu Mkubwa, ikiwemo mambo ya kudhalilisha kama kuoga Tope na kutikisa maungo yao hadharani ili kuwafurahisha Viongozi, Wanapata wapi Ugumu wa kuhamia Dodoma ili kutii Agizo la Chama?
Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Samia queens, Shilole, Wasafi Media na wengine wengi ni wakati wa kumuunga Mkono Mama kwa kuhamia Dodoma haraka