Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Ally's mapema ila roho mkononi.Ally's
Basi kali sana inabidi ubebe biskuti zako EET SUM MORE na maji ama maziwa Energy.Ally's mapema ila roho mkononi.
Kama una roho nyepesi, magonjwa ya moyo, presha, BP. Usipande ally's wanakimbiza gari sana kama wana roho za spea. Kuna allys moja wanaiita ya petrol jamaa anakimbiza na kuovateki vibaya mno. Kuwa makini sana. Inabidi zianzishwe basi nzuri sana ambazo zinaenda mwendo wa wastani. Maana sikuhizi ni mwendo wa Ligi.Ally's
DarLux
Kama una roho nyepesi, magonjwa ya moyo, presha, BP. Usipande ally's wanakimbiza gari sana kama wana roho za spea. Kuna allys moja wanaiita ya petrol jamaa anakimbiza na kuovateki vibaya mno. Kuwa makini sana. Inabidi zianzishwe basi nzuri sana ambazo zinaenda mwendo wa wastani. Maana sikuhizi ni mwendo wa Ligi.
AsanteAlly’s Star Bus
Happy Nation
Tanzanite
Kuna kitu AlhushoomNi basi gani zuri kwasasa nikiwa na maana sio uzuri tu wa muonekano wa nje na ndani bali pia ambalo linaweza nifikisha mapema ukilinganisha na mabasi ya kampuni nyingine.
Mana kuna yale mabasi ambayo ukitoka hapa Dar saa 12 asubuhi Mwanza unafika kuanzia saa saba usiku sasa haya mabasi hapana kwakweli.
Kwa ambao mmesafiri hivi karibuni naomba msaada tafadhali wa kujuzwa kuhusu hilo swali langu hapo juu.