Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
- Thread starter
-
- #21
Shukrani sana kiongozi 🙏Nenda panda kati ya hizi chuma utakuja kunishukuru
1.DRG 554 (la petrol) Ally's star (dereva juma na Wadiki) - 22:15 utakua nyegezi
2. DRR 754 (higher la mineso) Dar lux (dereva mtoto Chris na imma kiduku) - around 22:10-30 utakua nyegezi
3. DVA 964 allys star dereva Ginimbi - Hii chuma imebakiza kupaa tu.
4. DUP 897 Tanzanite ya Father Goliama - saa name kasoro mpaka saa nne na nusu upo nyegezi
5. DSE (JESHI) na ile Most wanted ally's star bus - kidogo zimepoa ila za moto sna hutachelewa.
6. DVA 963 & 965 - hili balaa lingine
Usikubali kupanda chuma yeyote ambayo sijaitaja apo , maana utakuja kulalamika mmefika nyegezi saa 8 usiku.
Hao wote ni familia mojaHizo bado zipo gereji[kama ni kweli wameingiza], kwa route ya Mwanza hawana gari kwa sasa wanafaulisha Tanzanite…. watarudi kuanzia September.
Halafu dar lux Drr mbona ipo na inaenda mwanza daily? Tena inachuana vikali na allys?Hizo bado zipo gereji[kama ni kweli wameingiza], kwa route ya Mwanza hawana gari kwa sasa wanafaulisha Tanzanite…. watarudi kuanzia September.
Halafu dar lux Drr mbona ipo na inaenda mwanza daily? Tena inachuana vikali na allys?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwasasa jamaa labda ungesema Tanzanite ndio yupo ambao ni ndugu na lux, nasikia anarudisha majeshi mwezi SeptemberHalafu dar lux Drr mbona ipo na inaenda mwanza daily? Tena inachuana vikali na allys?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefulia
wwe jamaa unayajua vizuri Sana haya Mabus Ila hata Mimi naikubali Sana DVA nilipanda mwezi 4 hakika huyo Dereva anaovetake kama anachezea play station, nashangaa watu wasifia akina sauli kumbe hawajui kuna machizi wapo barabara ya MwanzaNenda panda kati ya hizi chuma utakuja kunishukuru
1.DRG 554 (la petrol) Ally's star (dereva juma na Wadiki) - 22:15 utakua nyegezi
2. DRR 754 (higher la mineso) Dar lux (dereva mtoto Chris na imma kiduku) - around 22:10-30 utakua nyegezi
3. DVA 964 allys star dereva Ginimbi - Hii chuma imebakiza kupaa tu.
4. DUP 897 Tanzanite ya Father Goliama - saa name kasoro mpaka saa nne na nusu upo nyegezi
5. DSE (JESHI) na ile Most wanted ally's star bus - kidogo zimepoa ila za moto sna hutachelewa.
6. DVA 963 & 965 - hili balaa lingine
Usikubali kupanda chuma yeyote ambayo sijaitaja apo , maana utakuja kulalamika mmefika nyegezi saa 8 usiku.
Huu ni ujinga mtupu , high speed kills.Nenda panda kati ya hizi chuma utakuja kunishukuru
1.DRG 554 (la petrol) Ally's star (dereva juma na Wadiki) - 22:15 utakua nyegezi
2. DRR 754 (higher la mineso) Dar lux (dereva mtoto Chris na imma kiduku) - around 22:10-30 utakua nyegezi
3. DVA 964 allys star dereva Ginimbi - Hii chuma imebakiza kupaa tu.
4. DUP 897 Tanzanite ya Father Goliama - saa name kasoro mpaka saa nne na nusu upo nyegezi
5. DSE (JESHI) na ile Most wanted ally's star bus - kidogo zimepoa ila za moto sna hutachelewa.
6. DVA 963 & 965 - hili balaa lingine
Usikubali kupanda chuma yeyote ambayo sijaitaja apo , maana utakuja kulalamika mmefika nyegezi saa 8 usiku.
Huu ni ujinga mtupu , high speed kills.
964 DVA 🍊🍊 a.k.a Night Hunter ya Ginimbi imekula kizinga Chalinze jana usiku😢😢😢Nenda panda kati ya hizi chuma utakuja kunishukuru
1.DRG 554 (la petrol) Ally's star (dereva juma na Wadiki) - 22:15 utakua nyegezi
2. DRR 754 (higher la mineso) Dar lux (dereva mtoto Chris na imma kiduku) - around 22:10-30 utakua nyegezi
3. DVA 964 allys star dereva Ginimbi - Hii chuma imebakiza kupaa tu.
4. DUP 897 Tanzanite ya Father Goliama - saa name kasoro mpaka saa nne na nusu upo nyegezi
5. DSE (JESHI) na ile Most wanted ally's star bus - kidogo zimepoa ila za moto sna hutachelewa.
6. DVA 963 & 965 - hili balaa lingine
Usikubali kupanda chuma yeyote ambayo sijaitaja apo , maana utakuja kulalamika mmefika nyegezi saa 8 usiku.
Duuh964 DVA [emoji521][emoji521] a.k.a Night Hunter ya Ginimbi imekula kizinga Chalinze jana usiku[emoji22][emoji22][emoji22]