Ni lipi jina halisi la Stamina?

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,346
Reaction score
862
Habari ya weekend wanajamvi. Nina ligi flani hapa nawanangu kijiweni. Naombeni mwenye kujua, anisaidie jina halisi la Nguli huyo wa Hiphop (Stamina)

Natanguliza shukran za dhati
 
[emoji23],[emoji23] nakumbuka moshi kuna mzee alikuwa anaitwa hivyo lakini kwa kule tulikuwa tunamuita boneventura
 
Katika ngoma yao na yule jamaa wa kenya alijitambulisha si mwingine ni mr BONIVENTURE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…