agwambo halisi
Member
- Jan 22, 2014
- 42
- 2
Wadau naomba kujuzwa tanki bora la kuwekekea maji kati ya
1. Sim tank lita 5000 hadi 10000
2. Kiboko tank
Na mengine mnayoyajua na bei zake naomba kujuzwa wadau
1. Sim tank lita 5000 hadi 10000
2. Kiboko tank
Na mengine mnayoyajua na bei zake naomba kujuzwa wadau