Ni lita ngapi ya Mafuta wakuu naweza nikatumia kutoka Arusha Mpaka Simiyu

Ni lita ngapi ya Mafuta wakuu naweza nikatumia kutoka Arusha Mpaka Simiyu

Mtumishi NGAMBOSHI

New Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Ni lita ngapi ya Mafuta wakuu naweza nikatumia kutoka Arusha Mpaka Simiyu kwa Gari ya Escudo
IMG_20220713_072946_577.jpg
 
Arusha-Simiyu ni km 548 (Google) Andaa wastan wa lita 60. Tabia yako ya uendeshaji inaweza athiri ulaji wa mafuta.
 
Back
Top Bottom