Ni Lotion au cream gani nzuri ya kung'arisha uso kwa wanaume?

Tumia happy skin mkuu ni lotion tu haina cream ni salama kwa ngozi yako
 

Attachments

  • IMG_20170501_210954_144.jpg
    30.9 KB · Views: 794
Inawezekana sababu zikishatengenezwa zinajaribiwa kabla ya kuletwa kwa watumiaji wengine kutumia.. Hivyo mpaka ipo sokoni fahamu kwamba imekidhi vigezo vyote na kwa matumizi ya ngozi.
Na yote hiyo ni kwa ajili ya kuhitaji mvuto au kufanana na wazungu??
 
Mimi malotion yameshanikataa, natumia mgando tu
Na yako vizuri..
Yanaitwa vaseline blue seal
Jaribu hayo mzee
 


Kuna hizi bidhaa za wanaume ni nzuri na zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia. Hazichubui lakini zinakuletea muonekano nadhifu na kukuondolea kero kama chunusi zile zitokanazo na kunyoa ndevu, lotion ya usoni na sabuni za kuogea...

Karibu ukihitaji tuwasilian 0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapatikana wapi na mbona huweki bei ili tuone ote.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…