Unapata fursa gani kwa hii lugha?
Babylonbusy unakijua kichina ?
What matters is the content that one have.Ukiwa na positive idea naona haijalishi umeongea lugha gan. Watatafsiri wenyewe
Magufuli aliongea kiswahili akagusia juu ya corona lakini kila taifa lilitafsiri kwa lugha yake
Anyway lugha yoyote yaweza kuwa fursa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mishahara wanayolipa wachina mkuu?Naunga mkono hoja kwa aliyesema kichina.. kwa sasa kuna miradi mingi sana ambayo wachina wanahusika na kumekua na mwingiliano mwingi sana kati ya wachina na mataifa ya afrika, kiingereza ni tatizo kwa wachina hivyo inapelekea kutokuelewana nyanja nyingi.. tumia kama fursa kujifunza ili upige mpunga...
Sent using Jamii Forums mobile app
mishahara ya watu wa Asia si rafiki nadhani ukifanya kama mtu unayejitegemea ni busara zaidi ingawa mwanzo mgumu lakini ukifahamika maisha yanaenda..
Bacy... Habari za kupotea rafiki?
Wow! My love upo. I miss you a lot
Salama kabisaaaBacy... Habari za kupotea rafiki?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Hahahahaaaaa same here Darling [emoji6]Wow! My love upo. I miss you a lot
Njoo PM
Sio wa Asia wote!!mishahara ya watu wa Asia si rafiki nadhani ukifanya kama mtu unayejitegemea ni busara zaidi ingawa mwanzo mgumu lakini ukifahamika maisha yanaenda..
Shukrani sana brooNaunga mkono hoja kwa aliyesema kichina.. kwa sasa kuna miradi mingi sana ambayo wachina wanahusika na kumekua na mwingiliano mwingi sana kati ya wachina na mataifa ya afrika, kiingereza ni tatizo kwa wachina hivyo inapelekea kutokuelewana nyanja nyingi.. tumia kama fursa kujifunza ili upige mpunga...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]