Ni maadili ya Kiafrika baba kumnunulia binti yake (aliyepevuka) chupi?

Ni maadili ya Kiafrika baba kumnunulia binti yake (aliyepevuka) chupi?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Nipeni maoni. Kwa nini mama amnunuliapo chupi mtoto wake wa kiume (aliyepevuka) haileti picha mbaya kama baba akifanya hivyo kwa mwanae wa kike?
 
mmmhhh wewe..
mama ndo aliyekuvalisha nepi nani sawa akikununulia chupi uwe wa kike ama wa kiume...
 
Kashaijabute
user-online.png

jina lako nalipenda..
lina maanisha nini???
 
Sio vizuri...ndo mwanzo wa kuanza kufikiria itampendeza vipi...mwishowe anataka kuiona mwenyewe!!Hiyo iwe kazi ya mama...au ikibidi sana baba anaweza kumpeleka dukani akakaa pembeni wakati binti ananunua!
 
I miss you Lizzy!
Happy new year dear!
 
Kitu cha kawaida tu, ikiwa mama anaweza whats the big issue ikiwa baba atafanya hivyo. Mara nyingi watoto wakipevuka wanataka uhuru wa kununua nguo za ndani wenyewe, mara nyingi ni kuwa ajili ya kuona soo.
 
hahahahahahah lol Hii kali ..
safi sana...
ok sasa umenipa sababu nyigine la kuipenda jina lako zaidi lol

HAppy New Year...

Ahsante dada. Karibu kwetu nikupe ndizi tamu (enjoge). Upate utamu wa mwaka mpya.
 
How are you doing My dear? Naruhusiwa kukununulia hiyo kitu anachosema Kashaija?:teeth:

im doing fine my lovely shemeji lol..
how have u been??

mmhhh ntashukuru ukinunulia lakini
mmmhhh itabidi tumwambie TF kwanza kabla hujanunua lol
hahahah lol

Happy New Year.....
 
im doing fine my lovely shemeji lol..
how have u been??

mmhhh ntashukuru ukinunulia lakini
mmmhhh itabidi tumwambie TF kwanza kabla hujanunua lol
hahahah lol

Happy New Year.....

Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... Usimwage..........
 
Ahsante dada. Karibu kwetu nikupe ndizi tamu (enjoge). Upate utamu wa mwaka mpya.

mmmhhh wewe unanitamanisha ....
haya nta karibia asanate ..
huku kwetu ndizi ni za x-mass na sherehe maalum tu..
hahahahah lol

Heri ya mwaka mpya....
 
Back
Top Bottom