Uchaguzi 2020 Ni Maajabu: CCM inajua kuna wagombea wamepita kwa kutoa Rushwa ila TAKUKURU hawajamkamata hata mmoja nchi nzima

Hapa ndio unafiki wa hawa jamaa unapoonekana, halafu eti unapanda jukwaani unajisifu unapambana na mafisadi na wala rushwa?? Waanzie kusafisha hao na tuwaone wakishughulikiwa na TAKUKURU.
otherwise wajiandae kupisha wengine IKULU, HAWATUFAI KABISA.
 
Waimba mapambio wa Lumumba mmelinajisi taifa, hii weakness pekee inawaondolea uhalali wa kuiongoza nchi tukufu ya Tanzania.

Kabidhini ikulu kwa Lissu afanye Reformations, nyie mrudi mtaani muendelee kubeti, maana MNA mitaji ya kutosha.
Hapa ndio unafiki wa hawa jamaa unapoonekana, halafu eti unapanda jukwaani unajisifu unapambana na mafisadi na wala rushwa?? Waanzie kusafisha hao na tuwaone wakishughulikiwa na TAKUKURU.
otherwise wajiandae kupisha wengine IKULU, HAWATUFAI KABISA.
 
hii utaiona ccm tu
 
mbunge mteuliwa wa MAFIA bwana Kipanga ALITOA laki 300000/ kila mjumbe 200000 kabla ya kura na 100000 baada ya matokeo. ushahidi upo na mtoaji anajulikana wazi kwa kila mtu
 
Taasisi nyingi nchi hii zipo kwa ajili ya wapinzani tu.
Sio taasisi tu mkuu, bali hata sheria nyingi zilizotungwa hasa kipindi cha utawala wa awamu ya 5 zinawalenga zaidi wapinzani tu, badala kulenga dira ya maendeleo ya Taifa letu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…