Elections 2010 Ni Maalim Seif na Seif Idd

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
6,997
Reaction score
1,172
Dr Shein amemteua maalim Seif kuwa makamu wa kwanza wa rais na balozi Seif Idd kuwa makamu wa pili wa rais... government of national unity in the making
 
Tunasubiri kuona ufanisi wao, maana hilo tulishalifahamu
 
Best wishes ili nasi 2015 tufanye kama wao
 
Shamsi vuai nahodha, amepigwa buuuuu
 
Inatia moyo kwamba Seif wawili watakuwa kwenye nafasi moja ya umakamo wa raisi.
Huyu Seif Iddi ni nani?.
 
Inatia moyo kwamba Seif wawili watakuwa kwenye nafasi moja ya umakamo wa raisi.
Huyu Seif Iddi ni nani?.
Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya JK iliyopita. jana Shein kamteua kuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi
 
mkuu Ami, Balozi Seif Idd alikuwa pale Foregn Affairs kama naib wazir wa ***** MEMBE
 
Tunasubiri kazi yao tuipime.Kwa sasa pongezi zao.
 
Na yule mgombea mwenza wa Lipumba kaula uwakilishi, sasa sijui na JK atamuona Profesa wetu Lipumba kwenye list yake wa wabunge 10? vinginevyo Lipumba itabidi urudi CHUO ukawape watu darasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…