sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Binafsi nakumbuka nikiwa chuo rafiki yangu sana tu alikuja nimkope laki 1 na nusu, jana yake nilikuwa nimepokea kiasi flani na yeye alikuwa anajua, nikamwambia ile kishaji tu pesa sina na ya jana niliyopata ni ya msosi na mambo ya chuo na madeni,
Alizoea kuja kupiga stori na ucheshi ila kuanzia siku hio ikawa tu ni kusalimiana tu zile mambo vip na kama ni utani basi ni ule wa chini sana unaoashiria tayari urafiki umefika kikomo, Dah niliumia kimtindo na nikaona nmefanya ishu sio kwa mshkaji.
Baada ya siku chache naskia kelele kwa watu wananiomba namba ya jamaa wamcheki maana jamaa kakimbia na pesa zao jumla kama laki 9
Kumbe jamaa alikuwa kadisco chuo safari ilikuwa imeshaiva.
Nampigia wala hapatikani.
Dah, kiukweli hapa nilikwepa risasi na niliona akili imefikiria mbali.
Pia nakumbuka airport nlikuwa sitaki kabisa kubebea watu mabegi yao, nlijihisi nafanya maamuzi mabaya ila baada ya kuona kwenye T.V kuna baadhi yao huwa wanaweka madawa basi ndio mpaka leo hata awe bibi kasahau bego laki siji kumbebea