Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Kama mnavyojua maisha ni safari ndefu sana yenye mabonde na milima lakini katika maisha kuna muda ukifika ni lazima ujifunze kufanya maamuzi magumu ambayo yatabadilisha maisha yako bila kujionea huruma
Mie upande wangu maamuzi ya kutoka nyumbani kuelekea maisha ya kujitemea yalibadili muelekeo wangu wa maisha asilimia 70 na kuanza kuiona dira ya maisha naelekea wapi.
Mie upande wangu maamuzi ya kutoka nyumbani kuelekea maisha ya kujitemea yalibadili muelekeo wangu wa maisha asilimia 70 na kuanza kuiona dira ya maisha naelekea wapi.