Hio hatari mkuu lakini ndo inasaidia ukitaka Ku lost tu endekeza ndugu nakwambiaKwa upande wangu kuna vingi sana nimewai fanya ambavyo vilikua ni maamuzi magumu mengine yalkua na brutality ndani yake lakin niseme kimoja,, mwanzon nilikua ni kijana simple sana lakin nikaja gundua kuwa kusaidia sana watu kunaniludisha nyuma hasa ndug wasio na maana kwahiyo nakumbuka niliacha kusaidia watu kabisa apo nilipata unafuu mkubwa sana kwenye maisha na kuendelea vizur kiuchumi but nlisaidia wachache sana wanaoendana na mimi.
Niliacha kazi ya 'permanent and pensionable' na kwenda kufanya kazi ya mkataba wa miezi mitatu.Kama mnavyojua maisha ni safari ndefu sana yenye mabonde na milima lakini katika maisha kuna muda ukifika ni lazima ujifunze kufanya maamuzi magumu ambayo yatabadilisha maisha yako bila kujionea huruma
Mie upande wangu maamuzi ya kutoka nyumbani kuelekea maisha ya kujitemea yalibadili muelekeo wangu wa maisha asilimia 70 na kuanza kuiona dira ya maisha naelekea wapi.
Dah asee ni kweli kabisa MkuuHio hatari mkuu lakini ndo inasaidia ukitaka Ku lost tu endekeza ndugu nakwambia