Ni maana ya hiki kitu kilichonitokea?

Ni maana ya hiki kitu kilichonitokea?

japhethy

Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Naitwa japhethy, kunasiku nilkuwa naota juwa katika mji mmoja wa Spain unaitwa Bercelona, cha ajabu nilipokuwa naliangalia juwa kikatoka kitu kwenye juwa na kunipiga katoka paji langu la uso na kujihisi kimetoboa na kutokea kisogoni.

Na wakati uwo uwo nikaanza kusikia sauti kubwa kutoka kwenye juwa ndani yakichwa changu ikiniambia kuwa, yeye ni Mungu muumba kila kitu kinachoonekana na kisichoonekana kwa iyo niuwambie ulimwengu mfumo mpya wa maisha.

Kuwa waache kufanya bihashara,wasitengeneze pesa ,wawafungulie wafungwa wote na kufanya kila kitu bure kwa binaadam. sauti ikazidi kuniambia kuwa yeye ni mkubwa mwenye namba 666.

Haya mambo yalinitokea kuanzia mwaka 20006, 20007, mpaka 20008. Hivi sasa nipo Germany bado nnasauti kichwani uwa inazungumza nami na wakati mwingine nikifikiria kitu basi uwa kinatokea .

Hii ni baadhi tu ya maono ambayo yalianza kunitokea mwaka 20006 nikiwa kule spain. naomba mnisaidie ndugu zangu ,ni nini mahana ya haya yaliyonitekea ??

Na ikiwa kama kuna mtu anafikilia kunisaidia lkn hakunielewa vizuri na anataka ajuwe historia ya maisha yangu na mwanzo kabisa wa maono ,basi naomba aniambie na mimi ntaandika yote yaliyonikuta, kwani yanatisha sana.

Asanteni natumaini mtanisaidia!
 
Anzisha dhehebu jamaang , upige mapene, maisha yawe matam zaidi
 
Nimekuangalizia hapa tatizo lako ni dogo sana
Niletee ng`ombe dume kubwa jeusi
Mchele gunia
Sukari gunia
Maharage gunia
Kuku jogoo 6 weupe
mafuta ya kupikia
Sufuria
Mafuta na chumvi
Usisahau pili pili kwa mbaali niweze kukutengenezea dawa
 
Tusubiri hadi mwaka 20005 tuone matokeo ya ndoto zako, kama bado tutakuwa hai.
 
Naitwa japhethy, kunasiku nilkuwa naota juwa katika mji mmoja wa Spain unaitwa Bercelona, cha ajabu nilipokuwa naliangalia juwa kikatoka kitu kwenye juwa na kunipiga katoka paji langu la uso na kujihisi kimetoboa na kutokea kisogoni.

Na wakati uwo uwo nikaanza kusikia sauti kubwa kutoka kwenye juwa ndani yakichwa changu ikiniambia kuwa, yeye ni Mungu muumba kila kitu kinachoonekana na kisichoonekana kwa iyo niuwambie ulimwengu mfumo mpya wa maisha.

Kuwa waache kufanya bihashara,wasitengeneze pesa ,wawafungulie wafungwa wote na kufanya kila kitu bure kwa binaadam. sauti ikazidi kuniambia kuwa yeye ni mkubwa mwenye namba 666.

Haya mambo yalinitokea kuanzia mwaka 20006, 20007, mpaka 20008. Hivi sasa nipo Germany bado nnasauti kichwani uwa inazungumza nami na wakati mwingine nikifikiria kitu basi uwa kinatokea .

Hii ni baadhi tu ya maono ambayo yalianza kunitokea mwaka 20006 nikiwa kule spain. naomba mnisaidie ndugu zangu ,ni nini mahana ya haya yaliyonitekea ??

Na ikiwa kama kuna mtu anafikilia kunisaidia lkn hakunielewa vizuri na anataka ajuwe historia ya maisha yangu na mwanzo kabisa wa maono ,basi naomba aniambie na mimi ntaandika yote yaliyonikuta, kwani yanatisha sana.

Asanteni natumaini mtanisaidia!

666 Ni chapa ya mpinga Kristo, kwa maana hiyo sio mungu kwa maana ya Mungu isipokuwa umetokewa na kupewa maono na shetani. Ufunuo 13:1......18...unapaswa kuikemea hiyo roho kwa jina la Yesu.
 
hiyo miaka uloitaja mkuu nina mashaka nayo ila siamini mbona ulichoandika hapa
 
Nimekuangalizia hapa tatizo lako ni dogo sana
Niletee ng`ombe dume kubwa jeusi
Mchele gunia
Sukari gunia
Maharage gunia
Kuku jogoo 6 weupe
mafuta ya kupikia
Sufuria
Mafuta na chumvi
Usisahau pili pili kwa mbaali niweze kukutengenezea dawa
ni sawa hapo ufumbuzi tele!
 
Omba sana Mungu. Kama ni kweli lakin maana huyo sio Mungu ni shetan
 
Back
Top Bottom