Hivi hautakiwi kuloa?Mkoba wa kilinge umelowa
Studio ya kusafishia picha na vifaa vyake KODAKEbu tuambie:
Ni machine gani au kifaa kilichokuwa kikikuingizia kipato, lakini sasa kimekumbwa na changamoto yoyote (mfano: short, power surge, motor imekufa, parts zimechoka, au matatizo mengine)?
Ila umeoshia kupoteza fedha Kwa mafundi na kununua vifaa unavyorlekezwa BILA mafanikio labda tunaweza PATA ma expert wazuri zaidi.
Eleza tatizo lako Kwa kina
Mifano ya machine, CO2 lasers, 3D printers, mashine za ujenzi, mashine za viwanda, packaging machines, au mashine yoyote ya biashara.
Hata siku mojaHivi hautakiwi kuloa?
DadavuaStudio ya kusafishia picha na vifaa vyake KODAK
Toa dukuduku sasaFundi niko hapa, narekebisha kila kitu.
Tufanye mamavua πππDadavua
Tengeneza brandKifaa cha kuangalia matatizo ya magari hasa ya Toyota,
hapo zamani kufanya checkup ilikuwa elf 40 mikoani nagusa tu nalamba misimbazi minne
sikuhizi nimebaki kukitumia mwenyewe, vimezagaa sana watu wanafanya checkup hata kwa elf 5
View attachment 3562327
Kwa nini?Hata siku moja