Mukulu wa Bakulu JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 4,050 Reaction score 12,968 Oct 11, 2018 #1 Nina mshikaji wangu kaniulizia atapata wapi maduka hapa Dar wanauza viatu classic vya mtumba. Nimeona niulizie humu kwa wenyeji mnaweza kunisaidia nikamuelekeza mshikaji. Ahsante.
Nina mshikaji wangu kaniulizia atapata wapi maduka hapa Dar wanauza viatu classic vya mtumba. Nimeona niulizie humu kwa wenyeji mnaweza kunisaidia nikamuelekeza mshikaji. Ahsante.
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 3,150 Reaction score 7,790 Oct 11, 2018 #2 Rafiki yako wa kike wa kiume, kama wakike nipe namba zake nimuelekeze
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,745 Oct 11, 2018 #3 Atembelee masoko ya mitumba yaliyo karibu nayeye.
Th los proffcnal JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 583 Reaction score 348 Oct 11, 2018 #4 Mwambie aende Ilala Boma
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,556 Oct 11, 2018 #5 lost id said: Nina mshikaji wangu kaniulizia atapata wapi maduka hapa Dar wanauza viatu classic vya mtumba. Nimeona niulizie humu kwa wenyeji mnaweza kunisaidia nikamuelekeza mshikaji. Ahsante. Click to expand... Sema tu ni wewe mwenyewe una hitaji viatu vya mtumba,usimsingizie 'mshkaji wako'
lost id said: Nina mshikaji wangu kaniulizia atapata wapi maduka hapa Dar wanauza viatu classic vya mtumba. Nimeona niulizie humu kwa wenyeji mnaweza kunisaidia nikamuelekeza mshikaji. Ahsante. Click to expand... Sema tu ni wewe mwenyewe una hitaji viatu vya mtumba,usimsingizie 'mshkaji wako'