Ni maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

Ni maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Wakuu kwema?

Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika hali yake.

Ni hayo tu wakuu. Ahsanteni
 
Nahitaji hii huduma nipo Mwanza..inapatikana wapi wazee... Daah ....
 
Mnaomkebehi mtoa mada, mtasema mna hata hizo nguo nyingi mpya. Kumbe kauka nikuvae tu.

Mwingine kachanganya nguo wakati wa kufua, zimeingiliana rangi. Kaka tafuta wale wanaotengeneza batiki, wanaweza kukusaidia maduka wanayonunulia rangi.
 
Wakuu kwema?

Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika hali yake.

Ni hayo tu wakuu. Ahsanteni
Mku7 duka lipo Kariakoo Gerezani jirani na Dar es Salaam Secondary. Ukifika ulizia watakuonesha. Wanapaita kwa mhindi rangi za nguo.

Ushauri
Watengeneza batiki na tie&dye ndiyo watu sahihi wa kuboresha rangi za nguo. Popote pale walipo waeleze hitaji lako wanashughulikia chap kwa haraka
 
Mimi nilishawahi kutafuta hizo rangi. Nlikua na suruali yangu pendwa sana sema ikawa inapauka. Kuna nguo mtu unafall nayo inlove bwana hutaki hata kuiacha.
Au kunakuwaga na kile kiatu unachokipenda lakini kimekubana.

Kukigawa huwezi sababu unakipenda

Na kukivaa huwezi sababu ni kidogo.

Unaishia kukiacha uvunguni tu.
 
Mimi nilishawahi kutafuta hizo rangi. Nlikua na suruali yangu pendwa sana sema ikawa inapauka. Kuna nguo mtu unafall nayo inlove bwana hutaki hata kuiacha.
sahii nyingine haha uwa napata pesa sana hiyo siku
 
Back
Top Bottom