BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Nahitaji hii huduma nipo Mwanza..inapatikana wapi wazee... Daah ....Wakuu kwema?
Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?
Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika hali yake.
Ni hayo tu wakuu. Ahsanteni
Mimi nilishawahi kutafuta hizo rangi. Nlikua na suruali yangu pendwa sana sema ikawa inapauka. Kuna nguo mtu unafall nayo inlove bwana hutaki hata kuiacha.Kwa nini usinunue tu nguo mpya...
Kuliko kuhangaika na hizo rangi, mwisho wa siku upate saratani ya ngozi..
. Hiyo shughuli kwangu ni ngumu sana.. Na nikiangalia mchina alivyoleta mambo rahisi..(nguo mpya safi, bei chee ), Siwezi kupaka rangi nguoMimi nilishawahi kutafuta hizo rangi. Nlikua na suruali yangu pendwa sana sema ikawa inapauka. Kuna nguo mtu unafall nayo inlove bwana hutaki hata kuiacha.
Mku7 duka lipo Kariakoo Gerezani jirani na Dar es Salaam Secondary. Ukifika ulizia watakuonesha. Wanapaita kwa mhindi rangi za nguo.Wakuu kwema?
Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?
Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika hali yake.
Ni hayo tu wakuu. Ahsanteni
Au kunakuwaga na kile kiatu unachokipenda lakini kimekubana.Mimi nilishawahi kutafuta hizo rangi. Nlikua na suruali yangu pendwa sana sema ikawa inapauka. Kuna nguo mtu unafall nayo inlove bwana hutaki hata kuiacha.
Mpaka top up ya nguo siku hizi wanafanyaNyie,kumbe Kuna rangi za kupaka nguo ionekane mpya na hamsemi jamani😂
Mi najuaga nguo ikishapauka au kuchanika unaachana nayo na kununua nyingine kumbe Kuna rangi za kupaka eti
Na kwa bahati mbaya huwa hazichelewi kwisha, maana zinavaliwa mara nyingiMimi nilishawahi kutafuta hizo rangi. Nlikua na suruali yangu pendwa sana sema ikawa inapauka. Kuna nguo mtu unafall nayo inlove bwana hutaki hata kuiacha.
sahii nyingine haha uwa napata pesa sana hiyo sikuMimi nilishawahi kutafuta hizo rangi. Nlikua na suruali yangu pendwa sana sema ikawa inapauka. Kuna nguo mtu unafall nayo inlove bwana hutaki hata kuiacha.