kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 464
- 447
Nenda Tanga ukapige pesa. Msimu unaanza mwezi ujaoWanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima naomba aje inbox Chap..!!
KitetoWanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima naomba aje inbox Chap..!!
Kitete unalima kwa Bei ndogo 35000 songea heka moja 90000.Kiteto
Lakini nguvu atakayotumia kulima kiteto heka Moja ya mahindi ni tofauti na nguvu atakayotumia kulima songea heka Moja ya mpunga.Kitete unalima kwa Bei ndogo 35000 songea heka moja 90000.
Mkuu ni aina gani ya Trekta na ni HP Ngapi? Lkn pia vip unakodisha kwa mwezi?Kiteto
Muwe mnasoma andiko vizuri, rudi huko juuMkuu ni aina gani ya Trekta na ni HP Ngapi? Lkn pia vip unakodisha kwa mwezi?
Hajataja aina ya traktor mkuu!Muwe mnasoma andiko vizuri, rudi huko juu
Uongo Tza Bei ya tretka haija fika hioEneo flan linaitwa lusewa songea hata uje na trector 30 kaz utazkimbia, ni mashamba ya mpunga Bei kw hekar ni 85 -90 elfu na unagombaniwa
Kipi tofaut wakati udongo ni tifu tifuLakini nguvu atakayotumia kulima kiteto heka Moja ya mahindi ni tofauti na nguvu atakayotumia kulima songea heka Moja ya mpunga.
Labda ana trekta mchinaKabisa hajataja wala hajarudi tena
Kaka unanibishia mim namili trector na mashamba songea hapo nmekutajia kw mashamba yanayolimwa kila mwaka lakn lakuanzisha tunalima kwa laki! Siongei kuptia makaratas mim nko sightUongo Tza Bei ya tretka haija fika hio
Du hongereni ongeza matreka,nchi nzima Bei kwa Heka ni kati ya elf 30 hadi 50 labda huko tretka zipo chacheKaka unanibishia mim namili trector na mashamba songea hapo nmekutajia kw mashamba yanayolimwa kila mwaka lakn lakuanzisha tunalima kwa laki! Siongei kuptia makaratas mim nko sight
Nenda kule Orkesumet (Simanjiro), Mkoa wa Manyara - utapata wateja wa kutosha wanaohitaji matrekta kwa ajili ya kilimo. Wenyeji wa kule wanapendelea sana trekta aina ya Swaraj. Nenda kule kafanye survey kwanza, hutojuta.Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima naomba aje inbox Chap..!!