ahmed omar
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 270
- 215
Nenda kule Orkesumet (Simanjiro), Mkoa wa Manyara - utapata wateja wa kutosha wanaohitaji matrekta kwa ajili ya kilimo. Wenyeji wa kule wanapendelea sana trekta aina ya Swaraj. Nenda kule kafanye survey kwanza, hutojuta.
Mkuu, kwa kweli sijuhi kwani sijishughulishi na masuala ya kilimo.Bei gani kwa heka simanjiro
TaboraWewe upo wapi na utoe mawasiliano Yako raia wakucheki.
NEW HOLLAND 4WDKabisa hajataja wala hajarudi tena
Kwani hayo maswali yamejibiwa wapi na mleta mada?Muwe mnasoma andiko vizuri, rudi huko juu
Uliulizwa uko wapi na tractor hp ngapi hayo hujajibu.Mkuu maswali yote yamejibiwa