Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao.
Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa ambao unaona wamerudi serikali iangalie.