Ni mafuta gani mazuri kwaajili ya massage?

Ni mafuta gani mazuri kwaajili ya massage?

JuniorGee

Senior Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
176
Reaction score
111
Habari wanajamvi,

Nimekuwa nikitafuta mafuta ya massage kwa muda mrefu sana bila mafanikio, ningependa kujua ni mafuta gani ambayo ni bora zaidi kwa kufanyia massage na nikijua na bei itakuwa vema zaidi.

Asante!
 
.
IMG-20181005-WA0072.jpg
 
Back
Top Bottom