JuniorGee Senior Member Joined Jan 26, 2018 Posts 176 Reaction score 111 Oct 9, 2018 #1 Habari wanajamvi, Nimekuwa nikitafuta mafuta ya massage kwa muda mrefu sana bila mafanikio, ningependa kujua ni mafuta gani ambayo ni bora zaidi kwa kufanyia massage na nikijua na bei itakuwa vema zaidi. Asante!
Habari wanajamvi, Nimekuwa nikitafuta mafuta ya massage kwa muda mrefu sana bila mafanikio, ningependa kujua ni mafuta gani ambayo ni bora zaidi kwa kufanyia massage na nikijua na bei itakuwa vema zaidi. Asante!
Anti-Hacker JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 803 Reaction score 1,233 Oct 9, 2018 #2 Asali na parachichi...mix na tango au pawpaw
JuniorGee Senior Member Joined Jan 26, 2018 Posts 176 Reaction score 111 Oct 12, 2018 Thread starter #4 Mzigua90 said: .View attachment 892454 Click to expand... Being yake iko vipi hii?
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Jan 5, 2021 #5 Mzigua90 said: .View attachment 892454 Click to expand... Mambo Mzigua90 ... Tafadhali ungeweka na bei+yanapatiakana wapi kesho nikachukue. Nisaidie
Mzigua90 said: .View attachment 892454 Click to expand... Mambo Mzigua90 ... Tafadhali ungeweka na bei+yanapatiakana wapi kesho nikachukue. Nisaidie