Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

amina ali

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
52
Reaction score
11
Habari zenu wapendwa,

Naomba mnijuze ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga uzazi? Na je hua unapaka juu juu au unaingiza ndani ukeni?
 
Wanadai mbegu zake ndizo utumika kupanga uzazi, ila namna ya kutuzitumia ndo haijulikan, wazee wa zaman ndiyo wanajua hayo, subir wanaojua watasema
 
weee amina unataka kupanga uzazi mapema hivyo

sio mapema mwanangu anamiezi mitano naogopa kumbebea mimba na babake hawezi kuishia nje au kama kuna njia nyngine ya kupanga isiyo ya kisasa naombeni mnifahamishe
 
Habar zenu wapendwa, naomba mnijuze ni mafuta gani ya mnyonyo yanayotumika kupanga uzazi? Na je hua unapaka jujuu au unaingiza ndani ukeni?

Ni mbegu zake na sio mafuta!
Fuata maelekezo yafuatayo:
😕 Ukianza bleed unahesabu siku 10 na siku ya 11,12 na 13 unameza mbegu moja moja kwa hizo siku 3.
Naamini umenielewa!
 
Wanadai mbegu zake ndizo utumika kupanga uzazi, ila namna ya kutuzitumia ndo haijulikan, wazee wa zaman ndiyo wanajua hayo, subir wanaojua watasema

Baada ya hapo unakula dudu mfululizo hadi mwezi wako uishe Amina
 
ni mbegu zake na sio mafuta!
Fuata maelekezo yafuatayo:
😕 Ukianza bleed unahesabu siku 10 na siku ya 11,12 na 13 unameza mbegu moja moja kwa hizo siku 3.
Naamini umenielewa!

nimekuelewa shukran, ila mimi nanyonyesha je mwanangu hatodhurika nitapotumia?
 
ni mbegu zake na sio mafuta!
Fuata maelekezo yafuatayo:
😕 Ukianza bleed unahesabu siku 10 na siku ya 11,12 na 13 unameza mbegu moja moja kwa hizo siku 3.
Naamini umenielewa!

na matumizi yake yapoje kwa mwananke asie bleed?
 
Jichanganye tu njia salama kama zakisasa hutaki mwambie akojole nje tu lakini mengi swaga tu hamna cha nyonyo wala nini
 
na matumizi yake yapoje kwa mwananke asie bleed?

Ivi kama huoni damu ya mwezi(bleed) unaikubalije hiyo hali!? Hapo jitahidi ukawaone madaktari bingwa watakusaidia,ila matumizi yake ni kama nlivyoeleza hapo juu yapitie vzr! Izo ndo tunazotumia mm na wife na kwa kwel ni nzuri na maisha yanaendelea ni rahisi na ya uhakika.
Usipoelewa ni PM
 
Na swali hapo.. Je mkiwa tayari kupata mtoto na mshatumia izo mbegu za mnyonyo mnafanyaje ili kutunga kwa mimba??
 
Ni mbegu zake na sio mafuta!
Fuata maelekezo yafuatayo:
😕 Ukianza bleed unahesabu siku 10 na siku ya 11,12 na 13 unameza mbegu moja moja kwa hizo siku 3.
Naamini umenielewa!
Mkuu funguka zaidi na uwe serious plz.mke wangu anatumia vidonge japo moyo unaumia.condom zimemshinda.nipe details za mnyonyo
 
Back
Top Bottom