weee amina unataka kupanga uzazi mapema hivyo
Habar zenu wapendwa, naomba mnijuze ni mafuta gani ya mnyonyo yanayotumika kupanga uzazi? Na je hua unapaka jujuu au unaingiza ndani ukeni?
Wanadai mbegu zake ndizo utumika kupanga uzazi, ila namna ya kutuzitumia ndo haijulikan, wazee wa zaman ndiyo wanajua hayo, subir wanaojua watasema
ni mbegu zake na sio mafuta!
Fuata maelekezo yafuatayo:
π Ukianza bleed unahesabu siku 10 na siku ya 11,12 na 13 unameza mbegu moja moja kwa hizo siku 3.
Naamini umenielewa!
ni mbegu zake na sio mafuta!
Fuata maelekezo yafuatayo:
π Ukianza bleed unahesabu siku 10 na siku ya 11,12 na 13 unameza mbegu moja moja kwa hizo siku 3.
Naamini umenielewa!
na matumizi yake yapoje kwa mwananke asie bleed?
nimekuelewa shukran, ila mimi nanyonyesha je mwanangu hatodhurika nitapotumia?
Mkuu funguka zaidi na uwe serious plz.mke wangu anatumia vidonge japo moyo unaumia.condom zimemshinda.nipe details za mnyonyoNi mbegu zake na sio mafuta!
Fuata maelekezo yafuatayo:
π Ukianza bleed unahesabu siku 10 na siku ya 11,12 na 13 unameza mbegu moja moja kwa hizo siku 3.
Naamini umenielewa!
kukojoa nje sio kila mtu anaweza.Jichanganye tu njia salama kama zakisasa hutaki mwambie akojole nje tu lakini mengi swaga tu hamna cha nyonyo wala nini