Gari ya matumizi gani? Suzuki Carry, nissan match, honda fit, toyota duet model za nyuma huko na vingi millage imekula chumvi ila kwa uhakika zaidi tembelea page za wauza magari instagram au twitter zipo nying tu ulizia tofauti tofauti uweze kulinganisha bei na aina za gari walizo nazo then utafanya maamuzi