Ni mahali gani Dar nitapata Vyombo vya Kupikia kwa bei nafuu

Kaka Yaoh

Senior Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
190
Reaction score
361
Wadau ninachangamoto hapa naomba msaada kwa yeyote yule anaejua maduka wanapo uza Vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vijiko, miko na vinginevyo nisaidie kuniambia maana ninauhitaji navyo.

NB: Bei ya kawaida
 
Anzia makutano ya Agrey /Sikukuu ila nyosha na Agrey mpaka unapokuta na Barabara ya Lumunba hapo katikati utapata kila unachohitaji....jumla na rejareja
 
Wadau ninachangamoto hapa naomba msaada kwa yeyote yule anaejua maduka wanapo uza Vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vijiko, miko na vinginevyo nisaidie kuniambia maana ninauhitaji navyo.

Nb:Bei ya kawaida
Karibu dukani kwangu nikuhudumie tupo manzese bakheresa phone number 0675128093
 
Wadau ninachangamoto hapa naomba msaada kwa yeyote yule anaejua maduka wanapo uza Vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vijiko, miko na vinginevyo nisaidie kuniambia maana ninauhitaji navyo.

NB: Bei ya kawaida
duka la celo nenda mtaa wa sikukuu na mchikichi kwa upande mmoja na upande wa pili livingstone na mchikichi.
 
Back
Top Bottom