Wizara ya elimu imeanza kupokea maombi ya ualimu pasipo kufafanua mwisho wa ku2ma maombi. jaman tunaipeleka wap elimu ye2? naishauri wizara kuedit upya lile tangazo lao ili mambo yawe wazi. nawasilisha