Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hujatuambia ukiondoa hayo majukwaa yako pendwa, ulikua unawakubali members gani humu kwa michango yao kabla ya wewe pia kujiunga? Usiwe mchoyo!! Toa credits bhana!!!Kwa upande wangu huwa naendelea
Jukwaa la :
Hoja na habari mchanganyiko
Elimu
Uhusiano, mapenzi na utafikia
Teknolojia
Jokes pamoja na
doctors.
Tayari.. UpvotedSoC01 - Ondoa hofu, anza sasa kuthubutu
JE, UNASITA KUFANYA KITU TOKANA NA WASIWASI NDANI YAKO? Hofu/mashaka/ wasiwasi unatufanya tusiendelee mbele na unatudumaza tunabaki vilevile tungali masikini na unaleta umaskini ndani yetu na kubaki vilevile tu bila hata kudhubutu kutenda jambo kuu katika Maisha yetu. Tufanye nini sasa iili...www.jamiiforums.com