Ni majukwaa yapi kila uingiapo JF lazima uingie kusoma nyuzi?

Lover boi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
316
Reaction score
439
Kwa upande wangu huwa naendelea
Jukwaa la :
Hoja na habari mchanganyiko

Elimu

Uhusiano, mapenzi na utafikia

Teknolojia

Jokes pamoja na

doctors.
 
Hoja na habari mchanganyiko is everything.
 
Nikishavurugwa na Jukwaa la Siasa naenda kupoza machungu Kwenye Jokes/Utani (Vituko Mitandaoni Tupia Chako) pamoja na Misosi kule..Uzi wa Vyakula Tu..
 
Hili swali niliulizaga humu mwaka 2013 wakati naanza kujifunza kupost thread.

Karibu sana JF.
 
Kwa upande wangu huwa naendelea
Jukwaa la :
Hoja na habari mchanganyiko

Elimu

Uhusiano, mapenzi na utafikia

Teknolojia

Jokes pamoja na

doctors.
Mbona hujatuambia ukiondoa hayo majukwaa yako pendwa, ulikua unawakubali members gani humu kwa michango yao kabla ya wewe pia kujiunga? Usiwe mchoyo!! Toa credits bhana!!!
 
Tayari.. Upvoted
 
Hoja mchanganyiko,
Siasa,
Sports,
Celebrities.
siku imeisha.
 
Jukwaa la siasa ndo la kwanza, hoja mchangamyiko na celebrity forum Kuna Uzi mrefu so huwa na comments
 
GT,JS,HM,HK
====
Utupatie na refreshment renumeration kwa kutukalisha hapa.
 
Nasoma ninazokutana nazo kwa updates tu, sifunguagi jukwaa kama jukwaa unless kuna ninachotafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…