Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Chalamila anaropoka ambayo ametumwa. Haya mambo tunaomba sana. Mwacheni Rais jamani. Huyu ataendelea kuwepo mpaka 2030 so mnaoanza kutaka kufanya mchakato komeni kabisa.
Chalamila anatumika kufikisha ujumbe kwa watu. Bahati nzuri mama yeye hawezi zungumza sababu ya upole na hapendi maneno. Chalamila ni BWATUBWATU. Huongea linalomjia mdomoni iwe limetoka moyoni au limepitia masikion.
So nawaambia acheni kumtesa mama. Ridhikeni na nafasi mlizopewa. Toshekeni nazo. Msianze kumtesa.