maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Habari wakuu,
Nimekaa Nikajiuliza sana hili swali, Naamini kabisa kuna wadau amabao wameshavuka miaka hiyo hapo juu, na wengine bado hawajafika umri huo,na wengine tuko katika kipindi hicho,kwa uelewa wa kila mmoja, pamoja na uzoefu na mambo ya ukweli yaliyowahi kututokea kwenye maisha yetu
Naomba tujadiliane kwa kina kabisa ka manufaa ya ambao wako hapo na ambao hawajafika,kwa kujadiliana ni makosa gani ambayo hupaswi, au ulifanya au unaamini unafanya katika maisha ukiwa na umri wa miaka 30, 35 na 40 yanayohusu kila kitu, kuanzia kwenye elimu, wazazi, familia uwekezaji na maendeleo,ndoa,mapenzi,marafiki,pombe,vyakula ,afya watoto, imani, Mungu, Muda, makazi na Mahali na megineyo mengi sana!
tafadhali sana tupunguze kejeli na tuongee bila woga naamini hii mada itasaidia wengi, na ingekua vizuri sana kama
tutatoa mifano hai na ambayo itatusaidia.
shukrani