Hii mbona hatusikii wakihukumiwa hawa wahindi?Kukwepa kulipa kodi pia ni uhujumu uchumi
Hii mbona hatusikii wakihukumiwa hawa wahindi?
nafikiri tunahitaji kujua maana paana ya kosa la kuhujumu uchumi. ila kwa idimi aliyesema kuwa kutolipa kodi ni kuhujumu uchumi amekosea. kutokulipa kodi ni kosa la jinai lakini si kosa la kuhujumu uchumi.
nitatoa maana pana zaidi baada ya kufanya utafiti maana no research no right to speak!!!