Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
sehemu mbali mbali hapa Tanzania nimekuta
tangazo ''TUNAUZA MKAA''.
Unapoandika unauza MKAA inamaana unauza kipande kimoja.
Ila neno fasaha linalotakiwa kutumika hapo ni ''TUNAUZA MAKAA''.
Ukiwa mmoja unaitwa MKAA.
Na yakiwa mengi yanaitwa MAKAA.
Na ndio maana huwezi kukuta neno MKAA WA MAWE huku yakiwa mengi. bali utakuta neno MAKAA YA MAWE.
So ukikuta mahali pameandikwa hivyo basi mtafute
muhusika kisha mnase vibao. Akikupeleka polisi nitafute kisha watajuwa kama kuna wanasheria wa kuzaliwa na wanasheria wa kusomea...
Aiseee yaani wewe ndio umenivuruga kabisa, hata kile nilichokuwa nataka kuchangia kimetoweka! khaa..Kwa hiyo basi itakuwa namna hii au sio....!?
Mkaa = Makaa (Mikaa?)
Jiwe = Mawe
Makaa ya mawe (Wingi)
Mkaa wa jiwe (Jiwe la mkaa? Mkaa wa mawe?)
Hapa ni confused dot com
Wala usichanganyikiwe na haya maneno mawili ambayo ni tofauti.Kwa hiyo basi itakuwa namna hii au sio....!?
Mkaa = Makaa (Mikaa?)
Jiwe = Mawe
Makaa ya mawe (Wingi)
Mkaa wa jiwe (Jiwe la mkaa? Mkaa wa mawe?)
Hapa ni confused dot com
oh hii imekaa vizuri. kwa hiyo wingi wa Mkaa ni Mikaa si ndio.. Thank you very much.Wala usichanganyikiwe na haya maneno mawili ambayo ni tofauti.
Mkaa = (charcoal) aina ya nishati inayotokana na miti au mimea uliyoungua nusu kwa kukoseshwa oxygen ya kutosha.
Makaa = (coal) ni aina ya nishati inayotokana na miamba ya mawe.
Mkaa -> unakata miti
Makaa ->unachimba ardhini kwenye miamba ya mawe na hivyo kupata jina "MAKAA YA MAWE"
Makaa si wingi wa neno mkaa, hizi ni bidhaa mbili zenye asili tofauti ingawa zote ni nishati.
Hatuwezi kusema eti wingi wa petroli ni dizeli.
Wala usichanganyikiwe na haya maneno mawili ambayo ni tofauti.
Mkaa = (charcoal) aina ya nishati inayotokana na miti au mimea uliyoungua nusu kwa kukoseshwa oxygen ya kutosha.
Makaa = (coal) ni aina ya nishati inayotokana na miamba ya mawe.
Mkaa -> unakata miti
Makaa ->unachimba ardhini kwenye miamba ya mawe na hivyo kupata jina "MAKAA YA MAWE"
Makaa si wingi wa neno mkaa, hizi ni bidhaa mbili zenye asili tofauti ingawa zote ni nishati.
Hatuwezi kusema eti wingi wa petroli ni dizeli.
Mayasa, umewasoma wataalamu vema hapo juu? Hakuna mikaa, ni mkaa tu na makaaoh hii imekaa vizuri. kwa hiyo wingi wa Mkaa ni Mikaa si ndio.. Thank you very much.
Kwa sheria gani hasa inayokuruhusu kupiga vibao watu wanaokosea maandishi ya maneno ya kiswahili?
Usiwe na wasi wasi, lengo ni kuonyesha kwa vitendo kuwa anachotaka kueleza sicho.Aiseee yaani wewe ndio umenivuruga kabisa, hata kile nilichokuwa nataka kuchangia kimetoweka! khaa..
Mkuu, naelewa sana kuwa hizo ni bidhaa mbili tofaiti ila zenye kufanana kimatumizi, ila mleta mada ndio kajichanganya kidogo... Na atambue kuwa kuna vitu ambavyo havina wingi wala umoja.Wala usichanganyikiwe na haya maneno mawili ambayo ni tofauti.
Mkaa = (charcoal) aina ya nishati inayotokana na miti au mimea uliyoungua nusu kwa kukoseshwa oxygen ya kutosha.
Makaa = (coal) ni aina ya nishati inayotokana na miamba ya mawe.
Mkaa -> unakata miti
Makaa ->unachimba ardhini kwenye miamba ya mawe na hivyo kupata jina "MAKAA YA MAWE"
Makaa si wingi wa neno mkaa, hizi ni bidhaa mbili zenye asili tofauti ingawa zote ni nishati.
Hatuwezi kusema eti wingi wa petroli ni dizeli.
Ehh kumbe nilitaka kujipotosha.. asante kwa kunieleweshaMayasa, umewasoma wataalamu vema hapo juu? Hakuna mikaa, ni mkaa tu na makaa
Miss Judith,habari za siku!!
Recently ninekuwa nikijiuliza huyu mpendwa yu wapi tena! Natumaini umekua vyema, na unazidi kubarikiwa.
Nilikukosa sana, ukutane na muujiza wako jumapili ya leo na zaidi Mungu akutane na haja ya moyo wako
Ngoja tuanze kufafanua vizur haya maneno.wapendwa,
vyote "mkaa" na "makaa" ni sahihi kutumika na ni maneno yasiyokuwa na wingi wala umnoja, yaani kiwe kipande kimoja ama vipande kadhaa, huitwa mkaa/makaa. ni sawa na neno "maji", huwezi kusema umoja wa maji ni "mji" au "uji" na wingi wake ndio eti; "maji"! "mji" na "uji" ni maneno tofauti kabisa na yana maana tofauti sana na hayana uhusiano na "maji"
hivyo basi, yeye asemaye mkaa yuko sahihi na yule asemaye makaa pia yuko sahihi, iwe ni mkaa wa mawe ama makaa ya mawe, kauli zote ni sahihi
@ X-Paster, kifungu nomino "makaa ya mawe" ni jina moja la bidhgaa inayoitwa "coal" kwa kiingereza, huwezi kusema kuwa kipande kimoja ni mkaa/makaa ya jiwe na vikiwa vipande kadhaa ndio makaa ya mawe kiwe kipande kimoja au tani kadhaa za bidhaa hiyo, huitwa makaa ya mawe!
wakati mwingine huweza kutumika kifungu maneno "kaa la mawe" kumaanisha kipande kikubwa kuliko ukubwa wa kawaida wa mkaa/makaa ya mawe! halikadfhalika, siyo sahihi vilevile kusema "kaa la jiwe" ukimaanisha pande kubwa la mkaa/makaa ya mawe
mbarikiwe sana
Glory to God!