Wewe ni mtu mzima, pongezi kwako 🍻Jiandae kumkatia bima ya afya mama na mtoto. Hilo ndio la muhimu zaidi. Mambo mengine ni ya kawaida kama matumizi ya kila siku.
Chakula, mavazi, makazi n.k
Mkuu ahsante kwa komenti hiiKuna jamaa hapo anadai utafute 2M usimsikilize.
Awepo mtu wa kumsaidia kufua, kusafisha nyumba na kupika.
Hua anahitajika kuogeshwa na kukandwa (kama mama yake yupo pengine washaliongea hili).
Atatakiwa kuhudhuria kliniki, jitahidi uwepo.
Mafuta ya nyonyo unanunua ya elfu mbili tu mi sikujua nikanunua kichupa kizima hadi leo yapo na mtoto anaongea sasa hivi.
Bima kwa mtoto ni 50,400/=
Kushonana kama hana complications ni baada ya siku 40. Ila jikaze angalau miezi 6.
Hakikisha mama mtu anakula inavyotakiwa na ananyonyesha. Wengine hua hawanyonyeshi ili ziwa lisilale. Encourage kunyonyesha.
Hospitali wanasema chakula cha kichanga kitakua maziwa ya mama for six months kabla haujampa chochote. Fuatilia kama ukoo wenu watoto wana uwezo huo wa kuvumilia maziwa pekee kwa miezi 6 (kama wazazi wako upo nao karibu kimawasiliano itakusaidia) mimi mtoto alichachamaa kulia akiwa na mwezi nikaambiwa anza tu kumpa uji ndiyo mlivyo.
Pia jiandae kumsaidia kubembeleza mtoto (kama mnaishi wote) waweza rudi saa tano usiku unakuta mama mtoto kabembeleza hadi anasinzia na mtoto mikononi.
Kama unaweza kuongea naye ongea naye. Niliongea na mwanangu akiwa na siku moja, nilimuambia nilichomuambia kisha nikamuuliza "Sa nitajuaje kama umenisikia na umenielewa?" Alikua ameangalia pembeni na si unajua mtoto wa siku moja anashinda kafumba macho? Dogo aligeuka kuniangalia kisha akafumbua macho. TBF nilishtuka.
La mwisho Kama uliwahi kutaka mimba itolewe akizaliwa muombe msamaha.
Kuna jamaa hapo anadai utafute 2M usimsikilize.

Acha kumtisha mshkaji banaTafuta hela angalau si chini ya million 2, otherwise utasaidiwa kulelewa mtoto. Si uliona raha kumwagia
Ila Mkuu uko fasta.
Last week Ijumaa ulikuwa hujaweka ka zygote bado.
Thread 'Unawezaje kuepuka changamoto za kumzalisha binti kabla ya ndoa ' Unawezaje kuepuka changamoto za kumzalisha binti kabla ya ndoa
Leo tayari kitu kimetiki?
Very good sina la kuongezea hapoKuna jamaa hapo anadai utafute 2M usimsikilize.
Awepo mtu wa kumsaidia kufua, kusafisha nyumba na kupika.
Hua anahitajika kuogeshwa na kukandwa (kama mama yake yupo pengine washaliongea hili).
Atatakiwa kuhudhuria kliniki, jitahidi uwepo.
Mafuta ya nyonyo unanunua ya elfu mbili tu mi sikujua nikanunua kichupa kizima hadi leo yapo na mtoto anaongea sasa hivi.
Bima kwa mtoto ni 50,400/=
Kushonana kama hana complications ni baada ya siku 40. Ila jikaze angalau miezi 6.
Hakikisha mama mtu anakula inavyotakiwa na ananyonyesha. Wengine hua hawanyonyeshi ili ziwa lisilale. Encourage kunyonyesha.
Hospitali wanasema chakula cha kichanga kitakua maziwa ya mama for six months kabla haujampa chochote. Fuatilia kama ukoo wenu watoto wana uwezo huo wa kuvumilia maziwa pekee kwa miezi 6 (kama wazazi wako upo nao karibu kimawasiliano itakusaidia) mimi mtoto alichachamaa kulia akiwa na mwezi nikaambiwa anza tu kumpa uji ndiyo mlivyo.
Pia jiandae kumsaidia kubembeleza mtoto (kama mnaishi wote) waweza rudi saa tano usiku unakuta mama mtoto kabembeleza hadi anasinzia na mtoto mikononi.
Kama unaweza kuongea naye ongea naye. Niliongea na mwanangu akiwa na siku moja, nilimuambia nilichomuambia kisha nikamuuliza "Sa nitajuaje kama umenisikia na umenielewa?" Alikua ameangalia pembeni na si unajua mtoto wa siku moja anashinda kafumba macho? Dogo aligeuka kuniangalia kisha akafumbua macho. TBF nilishtuka.
La mwisho Kama uliwahi kutaka mimba itolewe akizaliwa muombe msamaha.
Nimecheka sana huku nikisoma. Anyways umempatia mleta uzi ushauri mzuri sana wenye sense of humor na expirience ndani yake. [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa hapo anadai utafute 2M usimsikilize.