jindae vizuri ila tegemea kukuta maswali ya nje ya kada yako mfano math, It na general knowledgeHabari wakuu,
Mimi nimegraduate Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management, hivi karibuni nimekua shortlisted kwenye interview ya Tutorial Assistant kada ya Environmental Management (utumishi), je ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kwenye written interview na oral interview/maswali yapi yanapendelewa zaidi.
Written interview inafanyika online, kwenye kituo husika nitakachopangiwa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Naombeni msaada katika hili wakuu.
Duh mpk probability tena 😂🙌Nje na kada yako jiandae na maswali ya Math(Probability kidogo, Algebra & Rates and variations mfano yale maswali ya 3 people can plaster a wall of 10m2 for 2 days, how many people will plaster a wall of 15m2 for 1day?), IT(Shortcuts za Excel, Word, PPT na general IT knowledge mfano shortcut ya ku open a browser you mistakenly closed)
Kwenye kada yako
Methods of Wastewater treatment (Soma sana hapa)
Ecology and biotechnology (Mambo ya Compost, Eutrophication soma)
EIA
Solid waste management hierarchy etc
Interview za utumishi ni vita tena hizo za tutorial assistant ndio balaaDuh mpk probability tena 😂🙌
Kama ni hivyo ni hatari sasa 😂Interview za utumishi ni vita tena hizo za tutorial assistant ndio balaa
Shukrani sana mkuu, nitazingatia na kufanyia kazi🙏🏽Nje na kada yako jiandae na maswali ya Math(Probability kidogo, Algebra & Rates and variations mfano yale maswali ya 3 people can plaster a wall of 10m2 for 2 days, how many people will plaster a wall of 15m2 for 1day?), IT(Shortcuts za Excel, Word, PPT na general IT knowledge mfano shortcut ya ku open a browser you mistakenly closed)
Kwenye kada yako
Methods of Wastewater treatment (Soma sana hapa)
Ecology and biotechnology (Mambo ya Compost, Eutrophication soma)
EIA
Solid waste management hierarchy etc
Asante sana, nafanyia kazi🙏🏽jindae vizuri ila tegemea kukuta maswali ya nje ya kada yako mfano math, It na general knowledge
Hizo post za TA kama huna moyo mgumu na dhamiri halisi unaacha ndalajindae vizuri ila tegemea kukuta maswali ya nje ya kada yako mfano math, It na general knowledge