Ni mambo gani ya kuzingatia unapoanza kujihusisha na ufugaji?

Ni mambo gani ya kuzingatia unapoanza kujihusisha na ufugaji?

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
154
Reaction score
146
Wasalaam ndugu zangu,naamini mu wazima wa afya.

Leo nataka nilale nikiwa najua ni hatua gani kama mfugaji mdogo anatakiwa kuzijua pale tu anapokuwa na wazo la kuanza ufugaji Kwa mara ya kwanza.

Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu Ili niwe Bora zaidi ya hapa nilipo
 
Back
Top Bottom