Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Tufahamishane hapa mambo ya kuzingatia pale unapoibiwa simu. Ikumbukwe hakuna mtu yeyote anayejiandaa kuibiwa. Wizi hutokea pasipo hata kujiandaa. Wengi wetu huhosi kuchanganyikiwa.
Sasa ni nini cha kufanya unapoibiwa simu? Wengine husema katoe kwanza report polisi. Wengine husema block line.
Wengine husema tulia hadi saa 24 zipite ndipo ufanye maamuzi. Kipi hasa cha kufanya?