Maana hata polisi sikuhizi wameshindwa hii kazi ya kutafuta simuJambo la kuzingatia ni moja tu kuwa na pesa ya kununua nyingine.
Wazee wa cyber unit huwa wakiona mtu anapeleka kesi ya kuibiwa simu wanafurahi sana. Wanachukua kwako pesa, alafu wanakupiga kalendaMaana hata polisi sikuhizi wameshindwa hii kazi ya kutafuta simu
Na wakiipata wanatumia wao then wewe ni full calendar mpaka utasurrenderWazee wa cyber unit huwa wakiona mtu anapeleka kesi ya kuibiwa simu wanafurahi sana. Wanachukua kwako pesa, alafu wanakupiga kalenda
Wakimpata aliyeiba napo wanachukua pesa tena anaweza kuambiwa alifanya na ujambazi, hapo wataokota maokoto hadi basi😁😁Na wakiipata wanatumia wao then wewe ni full calendar mpaka utasurrender
Hakika dunia haiko fair....na ndiyo maana wakistaafu wanabaki wanarandaranda tu mtaani kwa kukosa marafikiWakimpata aliyeiba napo wanachukua pesa tena anaweza kuambiwa alifanya na ujambazi, hapo wataokota maokoto hadi basi😁😁
Kesi za kuibiwa simu tamu sana kwa jamaa zetu hawa
Wanaipata ila pesa itakutoka zaidi ya gharama ya simu hiyoUtafautaji (kutrack) kunahitaji uwe na nini? Je, ikiwa simu bado iko hewani kwa line yako, wanaweza kuitrack na kuipata?
Kuna siku nilikua nimekaa nao kadhaa sehemu tunapiga story, wakawa wanabishana walimu wamewazidi😁😁Hakika dunia haiko fair....na ndiyo maana wakistaafu wanabaki wanarandaranda tu mtaani kwa kukosa marafiki
Tumewazidi mshahara na siyo marupurupu ya kihuni hayoKuna siku nilikua nimekaa nao kadhaa sehemu tunapiga story, wakawa wanabishana walimu wamewazidi😁😁
Kwamba walimu wengi sasa hivi ni wajanja kwenye kujiongeza kutafuta pesa
Sio idara zote kuna marupurupu, FFU kule hakuna kabisaTumewazidi mshahara na siyo marupurupu ya kihuni hayo