Aisee wakuu hili jambo sio poa, kuna jamaa huku alinunua Kiwanja mwezi uliopita milioni 8 kumbe kile Kiwanja ni Cha mgogoro aisee na katika kupeleleza watu zaidi ya wa 3 wameshauziwa jamaa akaanguka kapelekwa Muhimbili leo kapoteza maisha.
Hivi wadau kumbe utapeli wa viwanja bado upo ni hatari sana, tupeane uzoefu jinsi ya kujinasua Ili usitapeliwe ardhi.