Sio Burundi sasa hiviJaribu kuhamia somalia utapata jibu
Brother hapo Kwenye Zanzibar ikikupendeza naomba ufafanuzi kidogoUkitaka kujua unafuu wa hayo yote tusianzie mbali. Ingia hapo Kenya, pitiliza ingia Uganda halafu malizia na Rwanda. Njoo na ripoti kuhusu namna ulivyofanya mahusiano na polisi wa huko, customer care kwenye huduma za kijamii, uhuru wa kuongea kijiweni na gharma za maisha. Hivi unajua kwamba Zanzibar pia ni Tanzania?
Peleka bidhaa yako yoyote kama mahindi au mchele waambie nimekuja kufanya biashara. Majibu ya hazo site yatakwambia kama ukiishi Tz unapata unafuu au la.
Mkuu kama una experience ya aina hiyo tusaidieUkitaka kujua unafuu wa hayo yote tusianzie mbali. Ingia hapo Kenya, pitiliza ingia Uganda halafu malizia na Rwanda. Njoo na ripoti kuhusu namna ulivyofanya mahusiano na polisi wa huko, customer care kwenye huduma za kijamii, uhuru wa kuongea kijiweni na gharma za maisha. Hivi unajua kwamba Zanzibar pia ni Tanzania?
Peleka bidhaa yako yoyote kama mahindi au mchele waambie nimekuja kufanya biashara. Majibu ya hazo site yatakwambia kama ukiishi Tz unapata unafuu au la.
Nakushukuru kwa mchango wako, ila unahisi nchi yetu imefanya juhudi ya kutosha katika kuwapatia Raia unafuu wa maisha?Ukiachilia mbali huduma za kiserikali, mtanzania ananufaika kwa mambo mengi kama raia wa Tanzania. 1.Urahisi wa kumiliki ardhi. 2.tabia ya nchi na sura ya nchi vimepunguza ugumu wa maisha,tunapata mvua za kutosha hivyo maisha yanarahisika maana tunakuwa na chakula.
Nashkuru kwa mchangoWee jamaa Unagubu sana.. wanaoishi nawewe wanapata tabu kwelikweli.
Watu wamezijenga nchi zao mpaka zikafikia apo unapopaona, mambo hayakuja tuu kama miujiza.
Wewe kama raia, umelifanyia nini Taifa kitu special cha kujivunia ili in-return upate hivyo unavyo vidai ? Wajibika Mzee usipende vitu mtelezo mtelezo tuu
Wee jamaa nakukumbusha tena unagubuu
Mambo gani hayo atafaidi mkuukaoe mzanzibari mkuu, mtoto atakuwa raia wa Zanzibar na atafaidi mengi mno.
Oa au olewa na Mzanzibar ili mtoto wenu awe na hadhi + uwanja mpana wa kufanikiwa (Zanzibar citizenship privilege)
Soma kwa makini, hakika utakuwa umemrahisishia maisha mtoto wako, wa kuuchukua uamuzi ni wewe mzazi wake mtaajiwa. Wengi wanaweza kudhani hii maada nimeianzisha kwasababu raisi wa sasa ni mzanzibari, la hasha!! Uraia wa Zanzibar una hadhi ya juu sana kuliko huu uraia wa Tanzania tangu zamani...www.jamiiforums.com
Serikali ya kichwa chakoHizi huduma ni kutoka Serikalini?
Kipofu hujilinganisha na kipofu wenzake hataki kabisa kusaidiwa aoneUkitaka kujua unafuu wa hayo yote tusianzie mbali. Ingia hapo Kenya, pitiliza ingia Uganda halafu malizia na Rwanda. Njoo na ripoti kuhusu namna ulivyofanya mahusiano na polisi wa huko, customer care kwenye huduma za kijamii, uhuru wa kuongea kijiweni na gharma za maisha. Hivi unajua kwamba Zanzibar pia ni Tanzania?
Peleka bidhaa yako yoyote kama mahindi au mchele waambie nimekuja kufanya biashara. Majibu ya hazo site yatakwambia kama ukiishi Tz unapata unafuu au la.