Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mbona watu wanapenda sana kuilinganishia Somalia na Burundi before au Syria kama benchmarks ya maisha magumu kwa mfano.Jaribu kuhamia somalia utapata jibu
Mwambie akamiliki ardhi zenjBrother hapo Kwenye Zanzibar ikikupendeza naomba ufafanuzi kidogo
Katika vipofu wawili haiwezekani kupata mwenye nafuu Mkuu?Kipofu hujilinganisha na kipofu wenzake hataki kabisa kusaidiwa aone
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Waambie hao. hawana taarifa sahihi za maisha ya watu katika nchi hizo.Mbona watu wanapenda sana kuilinganishia Somalia na Burundi before au Syria kama benchmarks ya maisha magumu kwa mfano.
You need to get to be there, msiwe misinformed
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app