Ni Mara Ngapi Unachukua Vacation?

Ni Mara Ngapi Unachukua Vacation?

BooSt3D

Senior Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
129
Reaction score
12
Hili swali nimeintend mainly kwa watu walio nje ya Tanzania, lakini sidhani kama ni vibaya kwa wale walio Tanzania ku-changia

Hivi How Many Times Unachukua Vacation within a Year!?, Na Huwa unasafiri, parks, six flags au unalala week nzima?

Kwangu Mimi huwa nachukua 1 week vacation kila baada ya miezi mitano

Nothing Personal, I'm just wondering kama tunapata enough rest na kurefresh mind zetu baada ya Box.

Thanks,
B.
 
kwa mimi huwa nachukua hata masaa yangu kadhaa sehemu ninayofanya kazi ni kwa masaaa.

Likizo yangu ni mara 2 kwa mwaka. Nikishaomba tu nawahi kijijini kurefresh mind na kusona mazingira ya kijiji. Dar panachosha sana unaweza changanyikiwa kama huko makini.

Kwa walio nje nimeshaonja kidogo sidhani kama unaweza kufanya hiyo maana everything is demanding labda kwa wale walioenda na mishiko ya kutosha na vibali maalum vinavyosomeka au wazazi wanasaidia 50% kwenye mambo fulani.
 
Mimi huchukua likizo ye miezi tano kwa mwaka. Kila nikiwa na likizo mimi hutembelea nchi za karibu hapa Afrika Mashariki au kwa nadra sana natoka nje kwenda kule Ulaya. Mimi nipo hapa Kenya haswa Nairobi na kila mwezi wa Juni kuanzia tarehe 24 hadi Septemba 7 mimi huwa likizoni.

Cha msingi hapa nadhani ni jinsi tunavyotumia muda wetu wa mapumziko na sio muda wenyewe tulio nao. Wenzangu hutumia nafasi hii kuzama ulevini na kutembea huku na huko kama mapwagu.

Nafasi unayopatia familia yako na wewe mwenyewe huwa nafasi iliyotumika vyema zaidi.

Ni dhana yangu hiyo...

Sadakta.
 
Mimi ni wiki moja tu kwa mwaka! This November nitakuwa Chicago, Illinois
 
Back
Top Bottom