Hili swali nimeintend mainly kwa watu walio nje ya Tanzania, lakini sidhani kama ni vibaya kwa wale walio Tanzania ku-changia
Hivi How Many Times Unachukua Vacation within a Year!?, Na Huwa unasafiri, parks, six flags au unalala week nzima?
Kwangu Mimi huwa nachukua 1 week vacation kila baada ya miezi mitano
Nothing Personal, I'm just wondering kama tunapata enough rest na kurefresh mind zetu baada ya Box.
Thanks,
B.