Ni mara ya kwanza kujiunga na wajanja na kupata elimu na mchanganua wa biashara mbali mbali, Habari ya kisiasa, uchumi, kwa kifupi kila kitu kipo

roby son

New Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Hapa ni mahali sahihi pakupata elimu ya biashara ili tuondokane na umasikini
 
Hapa ni mahali sahihi pakupata elimu ya biashara ili tuondokane na umasikini
iko mtaani bosi chagua biashara unayotaka fanya na sehemu husika katafute watu wanaoifanya watakupa kwanzia hasara, faida,changamoto jumlisha na nyingine utazokutananazo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…