Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanaJF Heshima Kwenu! Ninaomba MSAADA Wa Hilo.Hasa Kwa Mtu BINAFSI ama NGO.Nitashukuru pia kama kutakuwa na "Mchanganuo
Hospitali wamaanisha nini? Maana vituo vya kutoa huduma za afya vina level tofauti. Dispensary, Health Center, Hospital, Specialized Clinic, Super-specialized Clinic, Diagnostic Center, Maternity homes n.k. Vizuri sana ukienda wizara ya afya ukapewa muongozo. Kuna miongozo kuhusu wafanyakazi, ukubwa wa majengo, idadi ya vyumba n.k. Kama wewe si daktari au mtumishi wa afya basi hapo lazima utamuhitaji ili kusajili kituo hicho, sawa na mfamasia kwenye pharmacy.
Dispensary angalau wahitaji uajiri kwa mkataba wa full time Clinical Officer (CO), health center wahitaji uwe na assistant Medical Officer (AMO), Hospital wahitaji angalau MD, Specialized clinic wahitaji angalau Medical Specialist, Super-specialized clinic wahitaji medical super specialist, maternity homes wahitaji angalau nurse. Kuna staffs wengine wanaohitajika lakini hao watajwa ndio wakubwa. Ni PM kwa maswali zaidi.
Maana vituo vya kutoa huduma za afya vina level tofauti. Dispensary, Health Center, Hospital, Specialized Clinic, Super-specialized Clinic, Diagnostic Center, Maternity homes n.k. Vizuri sana ukienda wizara ya afya ukapewa muongozo. Kuna miongozo kuhusu wafanyakazi, ukubwa wa majengo, idadi ya vyumba n.k. Kama wewe si daktari au mtumishi wa afya basi hapo lazima utamuhitaji ili kusajili kituo hicho, sawa na mfamasia kwenye pharmacy.
Dispensary angalau wahitaji uajiri kwa mkataba wa full time Clinical Officer (CO), health center wahitaji uwe na assistant Medical Officer (AMO), Hospital wahitaji angalau MD, Specialized clinic wahitaji angalau Medical Specialist, Super-specialized clinic wahitaji medical super specialist, maternity homes wahitaji angalau nurse. Kuna staffs wengine wanaohitajika lakini hao watajwa ndio wakubwa. Ni PM kwa maswali zaidi.
DuuuhUsisahau kunyoosha mikono kila unapohisi kuchoshwa na nenda rudi za kutafuta vibali. Kila la kheri Mkuu.