Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
1--UKAWA ni nini...chama cha siasa au ni umoja wa vyama vya siasa usiotambulika kama chama cha siasa
2--Je kwa dalili tunazoziona UKAWA watasimamisha mgomea mmoja wa nafasi ya urais miongoni mwa umoja huo
3---Iwapo kwa mfano UKAWA wakamsimamisha mgombea kwa mfano toka CHADEMA na akashinda nafasi hiyo, je nafasi za uongozi wa juu wa nchi mfano waziri mkuu na makamu wa rais watatoka chama gani...obviously lazma iwe CHADEMA kwani ndio chama tawala kwa wakati huo according to katiba tunayoitumia kwa sasa
4---Je vipi kuhusu baraza la mawaziri ambalo pia linahitaji kuwa na mawaziri wanaotoka chama tawala yaani kilichopo madarakani kwa muda huo...ina maana hapa CHADEMA ndio watatoa mawaziri according to katiba tunayoitumia kwa sasa...
5---nini itakuwa hatma ya vyama vingine vinavyounda umoja huo yaani CUF, NCCR etc ndo watakuwa wamechinjiwa baharini? Na kupotezwa kweny ramani
Tusiruhusu hawa jamaa kuja kufanya majaribio kwenye nchi....watatuharibia na kutuletea machafuko hapo baadae...hakika UKAWA ni umoja wa kundi la watu flani walafi na wenye uchu wa madaraka...
N:B na hii ni kwa chama chochote kitakachosimamisha mgombea wa urais ndani ya UKAWA the situation will be the same
HUU NDIO MWISHO WA UKAWA MWEZI OCTOBER UNAKUJA TUTASHUHUDIA HILI.....UUMOJA GANI HUU USIOKUWA NA STRATEGY.....BAADA YA KULIGUNDUA HILI NILIAMUA KUJIENGUA HUKO
KIJANA AKILI KICHWANI