Ni matatizo gani yanakukera mtaani unapoishi?

budebajr

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
380
Reaction score
226
*Huduma za jamii
*Miondo mbinu
*Tabia za wanaokuzunguka
*Nakuendelea.....
 
Wadada kuanika v chup* vyao nje, sie wengine tukiona tu vile vitu, basi tunapata mfadhaiko[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Mapaka ya jirani.
Nishawai kukutana nalo limekaa ukutani wakati naenda kulala, dah ikabidi nilipige biti laakin limekaza , nilivoinama kuokota jiwe ndo likasepa (kubwa kinoma)
 
Mimi jirani tunayepakana chumba cha kupanga wakati wanafanya mapenzi wanapiga kelele sana na mimi nipo single basi muda mwingine huwa natoka nje kupunga upepo hadi wamalize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…