KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama.

Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi, mtumishi unaonekana kama kibaka.

Ajira mpya walioajiriwa toka February halmashauri hii imegoma kata kata kutoa hela ya kujikimu.

Yaani katika halmashauri zote za Tanzania na mkoa wa Shinyanga ni halmashauri ya Msalala peke yake ambayo imegoma kutoa hela ya kujikimu, wakati ni takwa la kisheria.

Tunaomba Tamisemi mulikeni hii halimashauri, kazi haziendi kabisa halimashauri hapo.

Tamisemi mkikaa kimya na kutochukua hatua, habari mtazipata kwenye platform,wanaharakati mbalimbali.

Halimashauri ya Msalala acheni utapeli toeni hela ya kujikimu.
 
Pumbafuuuuu kinukishe

Hela ya kujikimu ni haki ya mwajiriwa,Sasa hela ya kitanda utapata wapi
 
Weka majina yako tukulipe hela ya kujikimu
 
Mama hana deni 🤣
 
Tamisemi yenyewe inatakiwa imulikwe..sa sijui itakuwaje!
 
Kumbe JF inawatumishi tena wa halmashauri nikujua wote tupo Tiara ei, wizara ya fweza na bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…